Mp3 : Alikiba ft Mr Mim – Hadithi
Alikiba started his music career in the early 2000s and has released several hit songs since then. His music is a fusion of Bongo Flava, which is a popular music genre in Tanzania, with other African and Western musical influences. Some of Alikiba’s most popular songs include “Mwana,” “Aje,” “Chekecha Cheketua,” and “Seduce Me.”
Mp3 : Alikiba ft Mr Mim – Hadithi
Lyrics
Uliniambia unanipenda sanaa
Nikusaidieee Roho yako inauma ukinionaaa Nikuhurumieee Kwamambo mengi uliniumoza rohoo Kwa uyaonayoo Tabia yangu pia ilikuvutia Ikawa ndo ivyoo Kama dhumuni ilikuwa ni mapenzi Kupendana kwa dhati sijakizi Kuna wazushi na wanafki siku hizi Kupendana kwa dhati bila ilizi Nami nadhani ukuniamini Kwa yangu imani Sema na mimi basiNami nadhani ukuniamini
Kwa yangu Imani Sema na mimi basiHadithi na hadithi