Mp3 : Conboi – TILL I DIE
Conboi is one of the best Tanzanian artists in writing and singing hip-hop music, now patamuziki.com has put his song Till I Die for you below.
Lyrics
Yo it’s conboi you feel me
Luffa pass me that shit manI’ma do this shit till die
Kusema tuu ukweli I’m never gonna stop Kujiamini ndio ishakuwa lifestyle I ain’t gotta worry about motherfuckin non Coz hata nilipofika I never play Came a long way na ilikuwa worst days So the fuck now tryna tell me Don’t you see blood on my feetYoung nigga from the street
Working 9 days of the week And I never go to sleep A lotta shit I’m never gonna speak Lost my mama tangu niko standard three 2003 Ngumu kuelewa coz ni wazi hata hajakuwa na me Been through shits toka enzi nilipokuwa Rasheed Smoking this weed to release this pain inside of me Sometimes I wish my mom was here angekuwa proud of me Usiku wa manane niko natafakari Mgongo kwenye bed macho kwenye dali Nawaza mbali nataka nyumba and that fucking rari Ndio maana mjuba huwezi nikuta kwenye kila party Sio hatari sometimes na wahuni tuki throw a party Ujue ni baada ya kazi kubwa na wala sio zali Celebrate poppin bottle tuki celebrate Lame ass niggas whatchu tryna hateI’ma do this shit till die
Kusema tuu ukweli I’m never gonna stop Kujiamini ndio ishakuwa lifestyle I ain’t gotta worry about motherfuckin non Coz hata nilipofika I never play Came a long way na ilikuwa worst days So the fuck now tryna tell me Don’t you see blood on my feetDeep in my thoughts tryna thinking bout this life
Na bongo bila ya mchongo ujue ni tight I wanna make it right thats why I don’t sleep at night Hata ikiwa back to back everyday its alright Its alright kwangu naona poa tuu mazee Siwazi ka nachoka maana bado niko tee Sometimes I hear voices in my head Zingine zikinikiniumiza ilimradi nipotee goddamn Hujiulizi why napenda tuu kusizi To me its like a thrill sio kupenga ningekuwa chizi Vitu vingine niliamua to take easy Streess ikizidi naenda ufukweni to catch a breez Utani wa nini kwenye kazi za watu Kama kweli unajiamini usiwe muumini wa wafu Ungana na mm ukiamini ka muumini wa mashafu Siku nnikitusua hapatakuwa na nguvu ya watu Jitihada zinakuwa zaidi ya mtoto anae tambaa Asante mungu nmekuwa ingawa baba alinkataa Siku mtupa nilimjua japo ndugu walishangaa Ebhanae daah nasonga na sijakata hata tamaaIma do this shit till die
Kusema tuu ukweli I’m never gonna stop Kujiamini ndio ishakuwa lifestyle I ain’t gotta worry about motherfuckin non Coz hata nilipofika I never play Came a long way na ilikuwa worst days So the fuck now tryna tell me Don’t you see blood on my feet